Aisee link ipo vizuri sana.Jaribu kucheki hii link
MICHE BORA YA MATUNDA (@miche_ya_matunda590) • Instagram photos and videos
Kunakituo kimoja cha utafiti wa kilimo cha minazi ambacho naweza wasaidia kuwapeleka maana niliwahi kua pale utapataAisee link ipo vizuri sana.
Ngoja niwacheki kwanza,maana kuna miti nataka niwaulize kitaalam
Kipo pwani hapo jina chambezi institute of research nicheck kwa namba hii 0652609525Kunakituo kimoja cha utafiti wa kilimo cha minazi ambacho naweza wasaidia kuwapeleka maana niliwahi kua pale utapata
Chambezi inakaribia kufa...wale watafiti wamejiongeza wanazalisha wenyewe mbegu bora na kuziuza.. Jaribu kwenda utafiti mikocheni njia coka cola ....watakusaidia..Kipo pwani hapo jina chambezi institute of research nicheck kwa namba hii 0652609525