fatu2010
Senior Member
- Mar 4, 2014
- 173
- 143
Kama wewe ni mganga unaweza kutatua shida yangu (kuna mtu MZUNGU ananizingua kaniibia pesa) nataka nimfundishe kua waafrika sio wa kuchezea.
Ikiwa wewe unajua una knowledge ya miziziology ebu niPm malipo ni guarantee ili mradi tu huyu mtu apate anachostahili tu kwa sababu ameonesha jeuri isiyovumilika.
Karibu Pm, niko very very serious, kama huna idea na hii kitu pita kimya kimya kila mtu anaamua kuishi atakavyo