Wa umri wowote especial mwanamke hata kama ana mtoto, maslahi mazuri na kazi sio nyingi.
Sehemu ya kazi sio mjini ila ni sehemu ya kati,malazi,kula n.k ni juu ya mwajiri na uhuru wa kutosha kabisa.
0715812160

Habarini wapendwa,
Mimi ni mkazi wa moshi,Kilimanjaro nilikuwa nahitaji mfanyakazi wa ndani ambaye atakuwa tayari kufanya kazi za ndani,nahitaji awe mpole mwenye upendo na heshima awe muislamu.Kuhusu mshahara atataja yeye mwenyewe ni kiasi gani anahitaji,pamoja na maslahi yote anayopaswa kupewa binadamu.Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kupitia namba 0754883040 AU 0714342587.Asanteni wapendwa.

Kazi kwelikweli, kana kwamba alingoja mtu aanzishe naye adandie...haya baba wamekusikia!
kwani ungeanzisha uzi wako kungekuwa na tatizo?
Kwani kuna ubaya gani? Anaweza akadaka first ama second runner up wa mwenye uzi. Acheni woga jamani, fursa ziko nyingi hatuwezi kuexhaust!