Natafuta meza ya kusomea na kiti

Natafuta meza ya kusomea na kiti

Mm namuongezea nenda rozana buguruni pale kunamafundi seremala mpe bajeti yako atakutengenezea vyote. ..in short seremala yyt anaweza kutengeneza kitu kwa bajeti yako. ..vilivyotengenezwa tyr vinakua na fixed price mostly
Kiti achukue vya plastic ila meza anaweza kutafuta fundi yoyote wa mtaani akamtengenezea kwa bajeti yake kwa mbao za bei rahisi

Viti achukue kama nilivyoweka picha hapo juu havichoshi. Mafundi watamtengenezea kama vya dinning ambavyo ukikaa zaidi ya nusu saa unaanza kuumiza mwili

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom