natafuta mdada wa weekend hii

maishapopote

JF-Expert Member
May 28, 2009
3,278
5,518
Weekend hii nahitaji mdada wa kuspend nae kwa jumamosi na jumapili umri si kigezo na urembo si ishu... Kwa alie mpweke na serious anipm
 
Kazi kwenu wahusika,pedejee huyo ndo anatokea nyarugusu na madola kibao baada ya kuuza zaabu anatafuta wa kumchuna weekend.Maishapopote maraha una plan kuyalia wapi kempinski,seacliff,muvenpik au baharini kule kunduchi? wambie kabisa wajue we mshefa wa ukweli na maeneo yako sio kwa mtogole,hahahahhaa pesa bana kitu kizuri kweli,ukiwa nazo unaona ka vile fulltime uko kwenye kubembea mode.
 
Weekend hii nahitaji mdada wa kuspend nae kwa jumamosi na jumapili umri si kigezo na urembo si ishu... Kwa alie mpweke na serious anipm

Ulaaniwe kuwaharibu watoto wa wenzako. Mtoto wa mwenzio ni wako, dada wa mwenzio ni dada yako. Mama salma Kikwete alitwambia.
 
money buys a human soul...............................how low have we stooped as human beings?
 
Popote pale wanapotumia dola mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…