TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,593
Huo sio ubinadam ,Bali slavery.
Real estateNi biashara ya nini? Uko mkoa gani? Au ni kazi ambayo hata tukiwa mbali mbali itafanyika?
Wengine tuko na experience za kukaa reception kwahiyo kumcare mteja kuko damuni
Hivi we si hata utakuwa unapata shida kumshawishi mteja!! Maana nimekuuliza maswali matatu unajibu mojaReal estate
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Huyu kwa kifupi amejijua kwamba ako na poor customer service, ndio maana anatafuta mwenye vigezo, hebu ngoja nimfikirie maana Nimesoma hiyo kitu 3years na kufanya field ya mwaka mzima natumaini nimekwiva hapo, nitamfikiria mimiHivi we si hata utakuwa unapata shida kumshawishi mteja!! Maana nimekuuliza maswali matatu unajibu moja
Anyway I'm not interested dear hata nisikuchoshe
Changamkia fursa asee 😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Huyu kwa kifupi amejijua kwamba ako na poor customer service, ndio maana anatafuta mwenye vigezo, hebu ngoja nimfikirie maana Nimesoma hiyo kitu 3years na kufanya field ya mwaka mzima natumaini nimekwiva hapo, nitamfikiria mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Changamkia fursa asee [emoji3]
Fuata maelekezo kama upo interested .Ni biashara ya nini? Uko mkoa gani? Au ni kazi ambayo hata tukiwa mbali mbali itafanyika?
Wengine tuko na experience za kukaa reception kwahiyo kumcare mteja kuko damuni