Natafuta mdada wa kujitolea kama Customer Care

Habari wana JF,

Kutokana na tatizo la ajira nimeamua kutoa mchongo, natafuta customer care wa kujitolea ila commission ipo kama ataweza kushawishi mteja biashara ikafanikiwa (close a deal) .

Vigezo:
1. Jinsia ya kike
2. Uzoefu sio lazima bali hawe mtu mwenye kupenda kazi
3. Umri 21-32
4. Elimu kuanzia diploma mpaka Degree

Hakutokuwa na interview ukionyesha interest nakupa assignment (unapewa wateja watano ) unafanya ukifanikiwa tunaanza kazi.

Majukumu ya kazi
1. Kupokea simu za wateja na kuongea nao
2. Kufuatilia mahitaji ya mteja na kumshawishi kuhakikisha biashara inafanyika.

Kama utakuwa ushawai fanya kazi za sales itakuwa faida sana kwa nafasi hii.

Please usinitume CV wala vyeti, kama upo interest comment "interested".
Nitafanya na wewe mahojiano hapa hapa JF.
Interested

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba niongeze siku mpaka Jumatatu ,maana namba bado ni ndogo.Ila kwa wote walioonesha interest naomba wani forwardie resume /CV zao ili ni check kama wana sifa .Maana sifa ya kwanza ni jinsia,pili elimu ila sitoshangaa kuona mbaba naye kaomba coz kuna watu wao huwa hawasomi tangazo vizuri wakiona nafasi imetangazwa wanakurupuka tu kuomba.
 
CV tukutumie wapi?weka email
 
Mpaka sasa ni watu wawili tu ambao wame ni PM CV zao,nimefanya nao mahojiano mafupi mambo yanaenda vizuri.
Wengine wanaonyesha awapo interested thus why hawaja PM resume zao.
 
Mpaka sasa ni watu wawili tu ambao wame ni PM CV zao,nimefanya nao mahojiano mafupi mambo yanaenda vizuri.
Wengine wanaonyesha awapo interested thus why hawaja PM resume zao.
Khaa...mkuu tunalog in Jf kwa nyakati tofauti tofauti na hata tukiingia sio rahisi kupitia nyuzi zote maona hata masaa 24 hayajaisha tayari umeconclude eti watu hawapo interested

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile nafasi ishajazwa jamani,nilipata watu wawili tu nikamalizana nao ,amepatikana mmoja toka Mbezi Dar Es Salaam.
Tuombeane Mungu mambo yaende vizuri kuna nafasi kama 6 nitazitangaza za Field Sales Rep kwa mkoa wa Dar Es Salaam kabla ya mwezi wa nne Stay tune.
 
Back
Top Bottom