Natafuta mdada wa kazi za ndani

Huu ndio ujinga kutaka kila mtu afanane na wewe! Shauri kistaarabu sio kuonesha wewe unalipa kiasi gani sababu kila mtu akisema anawalipa house maids wao kiasi gani utafuta hiyo bhange yako soon!
Hapana, wote wamekosea, ila mleta mada amekosea zaidi. Soma btn the lines hilo sharti la 3, mtu ajilipie toka bush nauli umlete mjini umpe 30,000 kwa mwezi? Pia sentensi yake ya mwisho as if usafi na kulea mtoto ni vikazi flani vdogo! Watoto kulea kazi sana, Hatulingani kweli ila hiyo pesa ndogo sana kwa hayo majukumu, ange edit akaandika anaomba msaada kwa atakayeweza kumsaidia malezi ya mtoto na usafi, na kuwa atatoa pesa kidogo kwa mwezi, at least 50,000. Hata kama unqkipato kidogo, kumbuka hgirl anapokaa na mwanao vzr anakupa chance ya kupambana maisha zaidi
 
utadhani wanajua kipato chake
Hata kama , gharama za maisha zimepanda sana sasa hivi, kumbuka huyo mdada atakayemsaidia kazi kamtoa katika familia hiyo elfu 30 ajihudumie mahitaji yake yeye mwenyewe na kutuma kwao hiyo hiyo pesa kweli?? Hapana aiseee hii si haki!
 
Elf30 zama hiz za magu duh kaz ya kulea mtt nauli juu yke kigoma to pemba Ukimpta leta mlejesho
 
Me mfanyakazi wangu wa ndani ana degree kamaliza I.F.M halafu namlipa laki 2 kwa mwezi anafanya usafi vizuri balaa...
 
Huu ndio ujinga kutaka kila mtu afanane na wewe! Shauri kistaarabu sio kuonesha wewe unalipa kiasi gani sababu kila mtu akisema anawalipa house maids wao kiasi gani utafuta hiyo bhange yako soon!
wakuu mna maneno nyie hahaha
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu

Natafuta mfanyakazi wa NDANI pls....

Masharti
1. Awe na umri usiopungua miaka 17 na usiozidi 19 au 20.

2. Asiwe ametoka kumaliza darasa la saba mwaka huu

3.Asiwe anatoka mjini na awe tayari kutumia nauli yake mpaka kufika nilipo.

Mshahara ni 30 elfu
Kazi kubwa ni usafi wa ndani na mtoto
Ni pm,,, nakuj mm mwenyewe
 
Binadamu tuwe na roho ya huruma basi walau duuh.
Yaani nauli ajigharamie na mshahara wenyewe wa bia 12@2500=30,000/
Bora mwaka uishe tuanze upya tu sijui hata tumekosea wapi.
 
Huu ndio ujinga kutaka kila mtu afanane na wewe! Shauri kistaarabu sio kuonesha wewe unalipa kiasi gani sababu kila mtu akisema anawalipa house maids wao kiasi gani utafuta hiyo bhange yako soon!
Asante mkuu
 
Mleta mada atakuwa ni wale wamama wa nyumbani ambao akiamka tu anawahi kwa jirabi kupiga umbeya huku kila kitu akimwachia house girl!

Elfu 30? Maviii
Mkuu mm sio mama ni mwanaume aisee
 
utadhani wanajua kipato chake
Jamani sasa mnataka niahidi ntamlipa laki moja akati kamshahara kenyewe laki 5 tu ili mm niishi vipi? Au niahidi laki alafu nimzulumu?
Bora niahidi kadiri ya uwezo wangu iatoshe mke wangu nae peace tu
 
Hata kama , gharama za maisha zimepanda sana sasa hivi, kumbuka huyo mdada atakayemsaidia kazi kamtoa katika familia hiyo elfu 30 ajihudumie mahitaji yake yeye mwenyewe na kutuma kwao hiyo hiyo pesa kweli?? Hapana aiseee hii si haki!
Mahitaji yote mm tampa
 
Back
Top Bottom