Natafuta mdada wa kazi za ndani

Huu ndio ujinga kutaka kila mtu afanane na wewe! Shauri kistaarabu sio kuonesha wewe unalipa kiasi gani sababu kila mtu akisema anawalipa house maids wao kiasi gani utafuta hiyo bhange yako soon!
Ha ha ha Jf raha
 
Jamani sasa mnataka niahidi ntamlipa laki moja akati kamshahara kenyewe laki 5 tu ili mm niishi vipi? Au niahidi laki alafu nimzulumu?
Bora niahidi kadiri ya uwezo wangu iatoshe mke wangu nae peace tu
waambie hao
 
Back
Top Bottom