Natafuta mdada asiyekuwa na ajira nataka tufanye biashara ya kuuza matunda fresh maofisini..!!

Jaslaws

JF-Expert Member
May 31, 2011
6,016
5,284
Habari za asubuhi,kama kichwa cha habari kinavyokiri..natafuta mdada mwenye elimu yoyote tufanye biashara ya matunda,nnaimani hii itasaidia kupunguza malalamishi ya ukosefu wa ajira,mtaji na kianziao cha biashara natoa mimi kama uko interested tuchekiane pm..!!nataka mdada kwa sababu za kiutendaji tu na aina yenyewe ya biashara.
Cha msingi awe mchapa Kazi na awe mbunifu
 
Hizo ofisi ushapata? Siku hizi watu wana watu wao tayari wa kuwauzia
 
Ubunifu hata wanaume wanaweza sema unataka wakuvaa mipasuo hadi kiunoni!!!
Anyway kila la kheri mkuu....
 
Habari za asubuhi,kama kichwa cha habari kinavyokiri..natafuta mdada mwenye elimu yoyote tufanye biashara ya matunda,nnaimani hii itasaidia kupunguza malalamishi ya ukosefu wa ajira,mtaji na kianziao cha biashara natoa mimi kama uko interested tuchekiane pm..!!nataka mdada kwa sababu za kiutendaji tu na aina yenyewe ya biashara.
Cha msingi awe mchapa Kazi na awe mbunifu
Mkuu umeshapata au nikuletee ndugu yangu
 
Habari za asubuhi,kama kichwa cha habari kinavyokiri..natafuta mdada mwenye elimu yoyote tufanye biashara ya matunda,nnaimani hii itasaidia kupunguza malalamishi ya ukosefu wa ajira,mtaji na kianziao cha biashara natoa mimi kama uko interested tuchekiane pm..!!nataka mdada kwa sababu za kiutendaji tu na aina yenyewe ya biashara.
Cha msingi awe mchapa Kazi na awe mbunifu
Vipi ndugu yangu ushapata mi pia Nina uhitaji wa hiyo kazi
 
Back
Top Bottom