Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

missrena

Member
Joined
Oct 13, 2015
Posts
23
Reaction score
6
habari wana jf, kichwa cha habari chajieleza;

mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28, mkristu,mweusi kwa rangi(chocolate), elimu yangu ni ya ngazi ya shahada, ni muajiriwa serikalini.

ninatafuta mchumba(mwanaume) mwenye umri wa kuanzia miaka 30 - 35, mcha Mungu,mkristu, elimu kuanzia shahada kwenda juu, aliyejiajiri au kuajiriwa,muelewa, muaminifu,muwazi na mkweli.

aliye na uhitaji kama mimi na aliye serious pekee ani-pm, tafadhali kama hauko serious just spare me with the trouble please.
 
du...nimependa hiyo!!!yaani post yako ya kwanza na kutafuta mchumba...Mungu ni mwema utapata!
 
missrena Mungu ni msikivu, ni mweza kwa mema ukusudiayo. Mungu akusaidie upate hitaji la Moyo wako!

Usikose kurejesha feedback.............
 
Last edited by a moderator:
Ngoja waje wachumba itajaa hiyo inbox yako. Wanamalizia kampeni tu za ukawa saa hizi.

du...nimependa hiyo!!!yaani post yako ya kwanza na kutafuta mchumba...Mungu ni mwema utapata!

Kuwa mvumilivu,watakuja tu wenye umri huo

missrena Mungu ni msikivu, ni mweza kwa mema ukusudiayo. Mungu akusaidie upate hitaji la Moyo wako!

Usikose kurejesha feedback.............

Jamaani na bwana atende

nashukuru sana wapendwa.
 
Last edited by a moderator:
habari wana jf, kichwa cha habari chajieleza;

mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28, mkristu,mweusi kwa rangi(chocolate), elimu yangu ni ya ngazi ya shahada, ni muajiriwa serikalini.

ninatafuta mchumba(mwanaume) mwenye umri wa kuanzia miaka 30,mcha Mungu,mkristu, elimu kuanzia shahada kwenda juu, aliyejiajiri au kuajiriwa,muelewa, muaminifu,muwazi na mkweli.

aliye na uhitaji kama mimi na aliye serious pekee ani-pm, tafadhali kama hauko serious just spare me with the trouble please.

0762991229. Nipigie chap. Nipo serious
 
Ukiacha ubabe wachumba wapo tele...haiwezekani post ya kwanza uanze na ''...just spare me with the trouble please''
Binafsi nilikuwa natafuta mchumba ila nitaendelea kusubiri aliye patient, hata kama si mcha Mungu!
 
Wewe analyser ndio zaidi umeweka aibu yako wachumba hawatafutwi humu Kama domo zito nenda uwanja wa fisi
 
Ukiacha ubabe wachumba wapo tele...haiwezekani post ya kwanza uanze na ''...just spare me with the trouble please''
Binafsi nilikuwa natafuta mchumba ila nitaendelea kusubiri aliye patient, hata kama si mcha Mungu!

macho husoma kile unachotaka kukisoma, kwahiyo kama wewe hiyo umeona ni ubabe then its not my fault, gud luck tho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom