ExG
Member
- Oct 9, 2015
- 59
- 8
habari wana jf, kichwa cha habari chajieleza;
mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28, mkristu,mweusi kwa rangi(chocolate), elimu yangu ni ya ngazi ya shahada, ni muajiriwa serikalini.
ninatafuta mchumba(mwanaume) mwenye umri wa kuanzia miaka 30,mcha Mungu,mkristu, elimu kuanzia shahada kwenda juu, aliyejiajiri au kuajiriwa,muelewa, muaminifu,muwazi na mkweli.
aliye na uhitaji kama mimi na aliye serious pekee ani-pm, tafadhali kama hauko serious just spare me with the trouble please.
Wew n mwanamke jasiri...Mungu n mkubwa utapata...ngoj nmtel ma friend hyo offer cz nae anatafut bby mwnye xsticz ka zako....yey n 25th anatimza 30...