Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

jamani we kama unahisi hii post inakukwaza sanaaaaa au haikuhusu, just read and pass, sio lazima ujionyeshe kuwa wewe mjuaji sanaaaaa na kumsaidia Mungu kazi, people are tooooo judgemental in here, sio lazima watu tufanane vipaumbele.

Toa wasifu wako, elimu kazi, unatokea mkazi wa wapi, jifafanue vuzuri
 
siwezi kukulaumu maana hicho ndicho unachoamini, kwani watu walioko mitandaoni sio watu wa Mungu? au ndio umekariri kuwa mwenza wako lazima umpate mahali fulani? mie sina mashaka na imani yangu and thats enough.
Binti unaonekana unamsimamo mzuri sana. Hadi umenivitia japo mimi sio muoaji. Ila Mungu atakusaidia utapata Mume. Endelea kumwomba Mungu kwani yeye ndiye mpaji.
 
Wajumbe wanauliza bikra ipooooooo?? Mbona hujibu hilooooo?
 
habari wana jf, kichwa cha habari chajieleza;

mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28, mkristu,mweusi kwa rangi(chocolate), elimu yangu ni ya ngazi ya shahada, ni muajiriwa serikalini.

ninatafuta mchumba(mwanaume) mwenye umri wa kuanzia miaka 30 - 35, mcha Mungu,mkristu, elimu kuanzia shahada kwenda juu, aliyejiajiri au kuajiriwa,muelewa, muaminifu,muwazi na mkweli.

aliye na uhitaji kama mimi na aliye serious pekee ani-pm, tafadhali kama hauko serious just spare me with the trouble please.
Usiweke Vigezo Vya Elimu na Kazi Katika Mapenzi. Utaolewa na Mwenye PHD akawa na Kibamia. Na asijue matumizi Mazuri ya Kitanda.
 
Usiweke Vigezo Vya Elimu na Kazi Katika Mapenzi. Utaolewa na Mwenye PHD akawa na Kibamia. Na asijue matumizi Mazuri ya Kitanda.
Mmmh!! Elimu ina umuhimu wake, kwani wapo wasio na elimu na wana hivyo vibamia pia, lkn hata hao vibamia wana haki ya kupendwa na kuoa pia(yaweza isiwe mimi ila kila mtu ana mtu wake)
 
Sasa mbona age imekutupa mkono bado unatafuta mchumba nikajua mume nijitie kitanzi.

Ulikuwa wapi kupata mchumba primary sekondari mpaka chuo sasa uraiani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom