Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,444
Mpwa ushahamisha meza kumbe
Nilipaliwa kidogo jamaa hajaweka wazi anataka wa kuoa au wa kumega tu?
Mpwa ushahamisha meza kumbe
Umepata kuwa na wangapi kwa hali hii?Ni Ukweli Si Uongo wana JF. Mimi nina Miaka 30 Mwanaume Kamili..Natafuta Binti wa miaka 23-28.
Lakini ni Lazima Tuanze kama Marafiki kwa muda kadhaa tupate Kuzoeana kwa kila hali
Nilipaliwa kidogo jamaa hajaweka wazi anataka wa kuoa au wa kumega tu?
Umepata kuwa na wangapi kwa hali hii?
Good luck
jieleze vizuri unafanya kazi gani, una gari gani, una nyumba au umepanga na ni mitaa gani pia elezea na elimu yako ili wadada wajue wana deal na mtu gani uenda umechoka kifedha usije watia shombo wadada wa watu bure ukashindwa kuwapa hata hela ya kufulia pichu
Ni Ukweli Si Uongo wana JF. Mimi nina Miaka 30 Mwanaume Kamili..Natafuta Binti wa miaka 23-28.
Lakini ni Lazima Tuanze kama Marafiki kwa muda kadhaa tupate Kuzoeana kwa kila hali
Hahahaha,jina lake huyu (mtulutumbi) kikwetu ni "mchawi" so ongeza kwenye cv yake
roho yangu inasita!
haya kina dada mwenzetu anatafuta mwenzie.
jieleze vizuri unafanya kazi gani, una gari gani, una nyumba au umepanga na ni mitaa gani pia elezea na elimu yako ili wadada wajue wana deal na mtu gani uenda umechoka kifedha usije watia shombo wadada wa watu bure ukashindwa kuwapa hata hela ya kufulia pichu
eehh mola sikiliza sala na kilio cha mtulutumbi..mtimizie haja ya moyo wake
mjaalie mke mwema mwenye busara na hekima ili aweze kulea watoto wake katika njia njema inayokufuraisha wewe mjalie mke mwenye kuongozwa na roho wako ili aweze kumshauri vyema katika unyofu na njia ztakazokurudishia utukufu eeh mungu baba!!!
muweke mbali na kina DELILA ili asije akapokonyoka ktk nia yako kwake kumleta ktk ulimwengu u....amen.
Hahahaha,jina lake huyu (mtulutumbi) kikwetu ni "mchawi" so ongeza kwenye cv yake
Mmh Funza Dume Unanitisha.. Kazi nafanya Nzuri tu ..Mshahara 1.4,Gari Nimeagiza Kanisani..Kimsingi Mdada Hawezi Kulala Njaa ila na yeye ajishughulishe si 'Leta Nimeze tu'.
Una Busara Sana ..Umesha bookiwa?
Huyo naona tayari....hebu mwona St Roya Roy ndo katibu mkuu wa ISC...ana data zote
Hapo nilipo pakoza kwa kweli mimi pananipa tabu sana, hivi haiwezekani mtu kuingia kwenye ndoa mpaka kwanza muwe marafiki kwa miaka au miezi kadhaa, kwa kisingizio cha kuzoeana... au unamaanisha kwanza mpaka mngonoleane, I mean mpaka muwe marafiki, mfanye na ngono, ikiwezekana mpate watoto ili kujuwa kuwa mke au mume anazo mbegu zenye rutuba... Kisha ndio mtangaze ndoa....!Ni Ukweli Si Uongo wana JF. Mimi nina Miaka 30 Mwanaume Kamili..Natafuta Binti wa miaka 23-28.