natafuta mchumba

natafuta mchumba

heri ya xmas wakuu.mm ni mdada ambaye ni mwaminifu na mwenye heshima zangu.nilikuwa na mpenz wangu ambaye tulidumu kwa miaka ming sana ila akaja nisaliti.tangia siku hyo nikawa nawachukia wanaume sana.sasa imefika wakati nataman kuwa na mtu na mungu akipenda aje kuwa mume wangu.mm ni mwanafunz wa IFM nasoma account second year

...bi dada hapo kwenye nyekundu, watu wanapaogopa sana, "CBE & IFM" vimekuwa vyuo vya machangudoa wanaofanya ufuska katikati ya jiji usiku!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom