Mimi ni ke, natafuta mchumba umri miaka 34, sifa na muomekano mwembamba mweupe, mrefu kidogo awe muajiriwa wa Songea Ruvuma, makazi yawe ya kudumu huku songea, dini roman....mimi pia ni muajiriwa karibu dm....usiwe na familia kuanzia watoto wawili, labda mmoja tu.
Awe tayari kupima afya.