Kasema yeye KE!We wa kike au wa kiume?
Amesema yeye ni ke usikurupuke soma mpaka mwishoMiaka 34 mwanamke utampata wapi ambaye hajaolewa na kuwa na mtoto? Labda upate single mother
Tafuta mtu wewe acha kufurahia u single wewe sio mnyama!, unahitaji faraja, kupewa mapenzi, kupewa joto wakati wa baridi n.kYeah na nafurahia
Ameedit baada ya kumkumbushaAmesema yeyee ni ke maana yake madume yenye mbegu zetu tuingie PM
Unataka wa Facebook vijitoto? huku kila mtu Tajiri (JFMi na wanaume wa jf nimekoma.sitaki
Nimemsaidia kumkumbusha tu
SemaSema nini Abi au basi ngoja niache
Na kwako piaKila La kheri kwako
Acha kukurupuka jomba. Unaamka na matongotongo na andazi mkononi unajibu tu.Kasema yeye KE!
MUWE mnasoma vizuri before.
NitakupigiaSema
Shida wengi mna roho mbayaTafuta mtu wewe acha kufurahia u single wewe sio mnyama!, unahitaji faraja, kupewa mapenzi, kupewa joto wakati wa baridi n.k
Usiishi kama panzi..π
Una miaka mingapi kwanza..?Shida wengi mna roho mbaya
Upendo hakuna zaidi ni interest tu
Muwe mnawajua watu huyo humu anajulikana ni ke kwa taarifa yako and sometimes watu walikua wanahisi ana pigo za haszuAcha kukurupuka jomba. Unaamka na matongotongo na andazi mkononi unajibu tu.
Huoni kama ka edit baada ya watu kumwambia?
Wapi nimesema nataka?Unataka wa Facebook vijitoto? huku kila mtu Tajiri (JF
Punguza Utanganyika basi sister kama haukutaka kuongea matatizo yetu mbona umetoa dodoso ila ukisema wanaume wa JF ina maana wote walikua na matatizo yanayofanana...Unataka kujua? Hata hakuna kitu nimetania
Raha ya Ngoma nawe ingia uchezeπ
Kila la heri
45Una miaka mingapi kwanza..?
Nakuharibia?Punguza Utanganyika basi sister kama haukutaka kuongea matatizo yetu mbona umetoa dodoso ila ukisema wanaume wa JF ina maana wote walikua na matatizo yanayofanana...
Kha! We ushakuwa ni likubwa sana ningekustiri!, mwanga wa u single na ukuangazie...ππ
Bastena,Mungi,Tundu au kwa wajanja Mtumbati.Mzee chilundu kaniachia mizigo yakeNiko hapa Liuli, na nina sifa zote ulizozitaja na zingine za ziada.
Ukiniona utanipenda bura kwa maana nina asili ya kiarabu, yaani suriyama π
Tusutane vizuriNitakupigia
Nawe unachukua Kila nnachoandika kama kilivyo?πKha! We ushakuwa ni likubwa sana ningekustiri!, mwanga wa u single na ukuangazie...ππ