Kama hamjanielewa nipeni mji niwatafsirie maana ya post hii.Naona hakuna hata mmoja aliyegusia hata kidogo nilichomaanisha ila ukweli ni kuwa sina shida ya mchumba kama mnavyojaribu kunielewa.
Wow,sina hata cha kusema,unadhihirisha tu kwamba utu uzima ni dawa maana ulichoeleza ni sawa na kuwa tulikuwa tunafikiria pamoja.Hongera mama kwa kunipa jibu sahihi,lakini hujamalizia upande wa bubu.