Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa

Natafuta mke. Umri 23-27, awe degree holder, mfanyakazi aliyeajiriwa, mkristo, mweupe, asiwe mfupi au mrefu sana, umbo la kati asiwe mwembamba au mnene sana, asinywe pombe wala kuvuta, mpole asiwe mkorofi, asiwe na mtoto, aishi Dar. Mwenye sifa hizo aje pm
 
Pia vigezo vya rangi vizingatiwe,,, nimegundua humu rangi ni maji ya kunde, brown na nyeupe ndio zinazopata nafasi.

kila anayetaka mpenzi amekuwa akiweka hizo rangi,, hii inasababisha watu kujichubua and i think huu ni ubaguzi wa rangi,,

Swala la rangi musilipe kipaumble sisi weusi tunajisikiaje kwa mfano,, thread zote vigezo vya rangi ni brown, maji ya kunde na nyeupe,, weusi je????

Napinga swala la ubaguzi rangi....
 
Nimeoa nina mke na anakaribia kujifungua kuanzia mke amepata ujauzito cjawah kula naye chakula cha usiku nikimwomba anasema hataki kiukweli nateseka sana nataman kupata jinsia ke ambaye naye anajisikia kama nnavyojisikia akiwa mtu mzima kidogo itakua salama akumbuke ntakua naye pale nnapomhitaji na ye anaponihtaji lakini sio malengo ya muda mrefu 0625695870
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom