Natafuta mchumba wa kuoa/kuolewa naye

Natafuta mchumba wa kuoa/kuolewa naye

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,349
Reaction score
3,910
Hili tangazo limekuwa maarufu sana hapa hasa jukwaa dogo la MMU la love connect na mrejesho wake umekuwa kizungumkuti.
Jambo linalonitatiza ni kwamba hivi ni kweli watu wanawapata wenzi wao hasa kwa vigezo wanavyovitoa au wanawakosa? Maana wengine wasije wakawa wanawapotezea watu wengine mda.

Mimi naona tuwe tunapata mrejesho wa hili jambo


Nitty
 
Niliposoma heading nilifikiri unatafuta mchumba wa kuoa au kuolewa naye duh. Nikilejea kwenye mada, yawezekana wanawapta lakini watakuwa ni wachache sana maana wanaweza wakajitokeza wasiokuwa na vigeza unavyovitaka.
 
Hili tangazo limekuwa maarufu sana hapa hasa jukwaa dogo la MMU la love connect na mrejesho wake umekuwa kizungumkuti.
Jambo linalonitatiza ni kwamba hivi ni kweli watu wanawapata wenzi wao hasa kwa vigezo wanavyovitoa au wanawakosa? Maana wengine wasije wakawa wanawapotezea watu wengine mda.

Mimi naona tuwe tunapata mrejesho wa hili jambo


Nitty

Nadhani tungepata Shuhuda mmoja hapa jukwaani aliyekwisha kupata na wakapendana atwambie basi
 
Back
Top Bottom