Natafuta mchumba (wa kiume)

Status
Not open for further replies.
Hivi unafikiri kwa mtindo huu,utapata mume bora? Au kwa vile unahamu ya kugegedwa daily? Haya kila la-heri dada.

mwnyew nina shaka huu KA mchakato WA katiba kuleee, ushavurugwaaa!!!
tehteh..
 
 
All the best
 

U express ur self well
 
More many come to u! u just wait, the time will tel.
 
Una matatizo wewe, mtu akianza shule na 7yrs unategemea amalize degree na miaka mingapi.kama c 23???

inaonesha huyo ndo wale waliochelewa kuanza shule/aliyeriseat mara nyingi ndo mana anashangaa ,miaka 23 ni standard
 
inaonesha huyo ndo wale waliochelewa kuanza shule/aliyeriseat mara nyingi ndo mana anashangaa ,miaka 23 ni standard

Atakua alichelewa kuanza shule then akaja kureset ndo mana, then akaja ingia certificate badala ya advance kwan atakua alikosa credits.

Mtu umeanza shule na miaka 7 (kama sera/sheria ya serikali itakavyo) ukamaliza primary 7yrs then olevo miaka 4 then advance miaka 2 then degree 3 years (isipokua wale wa degree za 4 / 5 yrs)...si unamaliza na 23 ???
Jamaa litakua lilisoma MEMKWA
 
 
Mhh unaonekana kweli uko serious ktk hili wacha niombe Mungu naweza kuendana na ww 0773584154
 

Ni tafte 0757555715
 
asnteni kwa ushirikiano ila namshukuru mungu nimempata na kwa kweli nina amani naomba mungu tufike next stage ila jamii forum members na mods wake mnanibadilishia jina karibu naitwa mrs M thanx all pamoja kila siku
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…