Nina elimu ya chuo kikuu, natafuta mchumba atakayekuja badae kuwa mume..,
SIFA:
Napenda mwanaume atakayenipa furaha, faraja na upendo wa kweli; ni pm uone picha zangu.
Ila kwa kifupi mimi ni mrefu, model like, maji ya kunde na kabila langu masai.
Nina miaka 23 kwahiyo mtu mwenye 26 kwenda juu atakuwa best.
KARIBU