Natafuta mchumba wa kiume

Mchumba ... sehemu ya ibada / shuleni / unaposaka tonge la kila siku - kazini / mijumuiko ya kijamii - harusi/mazishi ....kwenye usafiri wa uma/binafsi ... CONNECTION .....

Mitandaoni napo sio haba
 
Kila la kheri!
Take note lakini: humu bachelors wengi ni Chaputa na Kataa ndoa!
Anyway jaribu bahati yako.
 
Sawa unatafuta mchumba wa kiume lakini tuambie kwanza jinsia yako
 
Shepu number ngapi
 
Haya kuza kuza account , ukishapata u "JF expert member"
I hope utaanza kupost mambo ya msingi.
 
Duh kwenye mazishi tena mkuu, watu wapo na majonzi ya kutokwa na mpendwa wao, we upo kwenye kona mahali unashusha sound 😄😄
Ipo kabsaa ... mwanaume akishadhamiria anatendaa ... ukute mjane ni pisi kali jamaa anaenda toa polee ya kipekee ..baadae sound la kubembelezaa siku zijazo

Mmesafiri kwa usafiri wa pamoja mlikuwa hamfahamiani mwaanza jichetushaaa weeee mwishowe unajenga mazoea
 
Nitext nataka nikushauri
 
Mchumba mwanaume au mwanamke?? Edit hiyo post sema mimi ni mwanamke nina miaka 25 ,naishi dar, halafu baadacya kumalizia sema unatafuta mchumba hapo utaeleweka .
Waje matapeli sasa.
 
kuhus apprearance ni muhim lakini kikubwa ni tabia.
Kuna kiambatanishi hujakiweka
Moja je una nyege za kwenye Chupi au una nyege za kwenye hela?
Mbili namba yako ya Muamala mboni hujaweka utumiwe na ya kutolea?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…