Natafuta mchumba wa kike

Natafuta mchumba wa kike

Sasa nimzingue na nini? Tumekutana wote tushachoka tushapitia kila aina ya mabonde.. hatuezi shindwana!
Ubaya ni kwamba mimi siwapendi wanawake nishaharibika kisaikolojia wanawake wote nawaona sio kwanza ingewezekana kungekua hakuna utaratibu wa kutongoza ni ukimuona ukimtamani msogezee ghetto chapa vizuri kabisa mtie mimba ukimaliza mwache aende michezo ya jogoo ukiitaka tena kamata mwingine ni vilevile km ulivyofanya mwanzo hakuna kusumbuana sana ni mwendo wa kuijaza dunia
 
Hmmm hiyo sasa mbaya bro! Ata mi siwapendi mno wanaume lakini kukosea kwangu njia hakuwezi kunifanya niwaadabishe wengine! Ujinga wangu mwenyew nlokutana nao uko nyuma sio sababu ya kushindwa kuanza upya, sidhani kama kuna mtu hajawahi kuumizwa japo maumivu na mapokeo ya yake yanatofautiana..

Hakuna haja ya kufanya hayo yote na sio lazima uoe, na sio lazima ukikutana na mtu umzalishe ndio uone umemkomesha! Mimi mwenyew ningekuwa mwanaume nisingewaza ndoa ni utapeli tu, sema kwa wanawake unaonekana shindikanaa ukikaa mwenyew miaka yote, We tembeza rungu uwezavyo ila jilinde, achana na mimba kuna maradhi pia, utapata UTI ya mbwa na gono sugu ww unazijua sindano zinavyouma zile? Ata ukisimliwa tu unaumia🄵una hamu na baby mama dramaz ww utajinyonga mbona😱
 
Mawazo yako yamefanana kabisa na yangu,
Big up sana kwa haya maelezo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom