majebsmafuru
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 463
- 649
Liache likapigwe! Sijui lilikuwa wapi mpaka limesubiri likongoloke ndipo litafute mchumba!Simple and clear
Lakini ushauri wangu kwa wanaotafuta wenza! Msifunguke direct kama mnataka mchumba/ mke/mume nk! Natambua nia ni njema lakini ukija direct hivyo mhusika ataficha makucha mengi
Roho mbaya kama mama samuya!Liache likapigwe! Sijui lilikuwa wapi mpaka limesubiri likongoloke ndipo litafute mchumba!
😃😁😀😀😃Ngoja nimuite Binti wa zamani huenda akaokota dodo hapa,
Mkishindwana hebu mcheki BICHWA KOMWE -
Evelyn Salt una lolote la kuchangia hapa? binti kiziwi umeisoma mada lakini?
Tajiri wa Kigamboni mbona unanicheka?😃😁😀😀😃
Habari za asubuhi brotherTajiri wa Kigamboni mbona unanicheka?
Kwema mkuu,Habari za asubuhi brother
Huku miyeyusho Kila sehemu ukienda wanafanya ukaguzi wa kitambulisho cha nidaKwema mkuu,
Vipi huko Bongo hali ya usalama kwa sasa?
Wanawake bhana,hutu tumisemo twenu hatunaga akiliLiache likapigwe! Sijui lilikuwa wapi mpaka limesubiri likongoloke ndipo litafute mchumba!
Akikupotezea nicheki PM tuyajenge.Nipo hapa ila sina kazi🫢
Wewe mwenzako yuko serious afu we unatafuta opportunity 😆Akikupotezea nicheki PM tuyajenge.
Kwenye matatizo ndipo kwenye fursa.
Ndio maana nikasema kama akikupotezea nicheki Mimi,Wewe mwenzako yuko serious afu we unatafuta opportunity 😆
Kwa hiyo unamaanisha wanaume wasio na pesa wanatakiwa waje humu na wenye pesa watulaghai? Au wanamlipa mtu akatafute mke? Msemo wa memba mmoja hayanaga muongozo!Tafta ela kaka mke atafutwi kwa dizani hiyo
Huu umri wa kupiga mimba watoto wa miaka 18 kuelekea 19 sio umri wa kutafuta mchumba chifu piga mimba watoto wa kuku wa kienyeji wamejaa kibao piga mimba hawakatai hususani mfuko ukiwa unaeleweka achana na mambo ya kusaka mchumba utafirisika uzeeni ujiue..Niko 50+
Sawa acha tumpe muda akizingua tu chap nakucheki..Ndio maana nikasema kama akikupotezea nicheki Mimi,
So,still naheshimu uzi wake.