Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,124
- 6,141
Nilitegemea comment kama hii na zitakuja nyingine kama hiziPost ya kutafuta mchumba ila imejaa taarabu sana. Huyo mke wa rais ajiandae kisaikolojia.
Nilitegemea comment kama hii hongera kwa kushirikiMwaka huu atutapumua na hizi nyege nyege za asubuhi
View attachment 3382092
Rais kuwa na kifua sio what if, what if. Huna tofauti na yule mama mam, mama. Sio kila comment ya kujibu au kila mada ya kupost. Unajipunguzia credibility.Nilitegemea comment kama hii na zitakuja nyingine kama hizi
What if nataka niwaondoe watu kwenye hofu
Mimi hata dunia nzima muamue kunitukana na kudhihaki kamwe siwezi kashirikiRais kuwa na kifua sio what if, what if. Huna tofauti na yule mama mam, mama. Sio kila comment ya kujibu au kila mada ya kupost. Unajipunguzia credibility.
Ntahimiza watu wawe na familia, Taifa linaanzia kwenye familiaUkiwa Rais hakikisha kila mtu humu anapata mchumba
Credibility itapotea kwa kuvunja sheria ya nchi au kufanya mambo ya hovyo ambayo ni kinyume na maadili na sio kufanya engagement na watuRais kuwa na kifua sio what if, what if. Huna tofauti na yule mama mam, mama. Sio kila comment ya kujibu au kila mada ya kupost. Unajipunguzia credibility.
Soma vizuri ile reply. Punguza taarabu mhe rais. Uwe unapokea ushauri. Hii ni red flag hata ukiwa rais utakuwa kama nyampala tu.Mimi hata dunia nzima muamue kunitukana na kudhihaki kamwe siwezi kashiriki
Umeniita mama lengo lako ni unikere ila bahati mbaya nimeshavuka huko
Kupata mke imekuwa bahati siku hizi?Sa we naee kwa maneno yoote hayo si unaipoteza bahati mana unaweza kuonekana una gubu eti.
changamkia fursa mremboSa we naee kwa maneno yoote hayo si unaipoteza bahati mana unaweza kuonekana una gubu eti.
Lolchangamkia fursa mrembo
😁 msalimie numbie