Natafuta mchumba wa kike (asiwe trans)

Natafuta mchumba wa kike (asiwe trans)

Joined
May 23, 2022
Posts
92
Reaction score
339
Natafuta mchumba MWANAMKE awe Dar, wa mikoani hapana sina nauli ya kutuma.

Vigezo
1. Awe amezaliwa wa kike na aambatanishe kadi na cheti cha kuzaliwa
2. Awe na elimu walau awe na D ya masomo ya science O level
3. Awe mbea
4. Asiwe anaongea sana ila nikimwanzishia tu atiririke.
5. Wazazi/walezi wake wawe na bima za afya

Mimi ni mrefu ila sina ajira.
Nina mwili mkubwa na futi 6.2
Asitegemee mimi kumridhisha kitandani, nina mambo mengi ya kufanya mwaya.
 
Sasa hapo naona kama unatafuta watu watano tofauti haujawa specific unamtaka yupi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom