hapa naona kuwa ntajaolewa na mtu ni mtuTatizo nyie mko juu ya matumaini yenu kuliko mafanikio yenu. Mnataka kuolewa mpaka mpate PhD, na kazi juu-ukiangalia mfumo wa elimu ya kibongo ni 2+7+4+2+3/4+2+5 + ya kutafuta ajira=si chini ya 40years, na kwa kuwa jamii haijazoea mwanamke kumzidi umri mwanamme it means mume wa msomi huyu ni lazima awe over 40years(ambao ni wachache kukuta hawana back-to-house zao; kwa wale wa namba 1/4=.25 anakubali kuolewa kama mke wa pili/tatu au wa nne na anachukua fraction yake. Kwa wale 1/1=1 inakuwa mtihani hapo kupata wako wa peke yako. As graph approach to infinity, mdada anaona bora ajaribu bahati yake kwa yeyote yule aliye mbele yake japo kwa ku-refresh mind, wakitokea watatu na wote wamepita tu then jamii inakuona we kibuna njia so hata wale wakweli wana-disappear! Haaa, tahamaki mara 50years hiyo, baci unageukia usagaji na maisha ya uzee yanakuja. Kwa kutambua hili, ndo maana tunafanya tunavyofanyaaaa bi martyna wee!
hapa naona kuwa ntajaolewa na mtu ni mtu
wadada wabara mtaolewa na vijana wa kizenj,mambo kupeana atii!wakaka mkianza hizo sie wadada wa bara tuolewe na akina nani???
hapa naona kuwa ntajaolewa na mtu ni mtu
wadada wabara mtaolewa na vijana wa kizenj,mambo kupeana atii!
Hawawezi kuwa second best bana hawa wadada zetu, msituharibie bure viji-small house vyetu vya kujificha mvua especially season kama hii, ila nyie wa kwenu tutachukua jumla, ucjal
my wife wangu nimemkuta huku anajinadi mzenji wakati siyo!
unamaanisha kuwa dada zako wa bara hawafai kuwa wake bali nyumba ndogo tu?
Eti umesemaje???? Wewe mambo gani ya kusemana hadharani??? Una kesi ya kujibu
Utingo, mwanzo wa mvua mawingu mkuu, umesahau hilo! Nachomaanisha si rahisi wadada wetu hawa wa miaka 40+ kuolewa kama mke wa kwanza kwa wazenj, lazima watakuwa "second best" ndio nikasema hawawezi
duuh ngumu kumezawadada wabara mtaolewa na vijana wa kizenj,mambo kupeana atii!
duuh ngumu kumeza
Mmmh! Kila la heri.
kidogokidogo mwishowe utaanza matusi ya nguonikwa nini..?!! sio wazenji wote wanapeda mlango wa uwani wengine hoganga hodi kiistaarab mlango wa mbele..
mbona hausemi WATAFUTA MPENZI MLEMAVU??Nimetoka Jukwaa la Siasa huko, yaani linafuka moshi kuhusu vuguvugu la kuvunja Muungano, baada ya kutafakuri kwa kina nikaona bora mie nichukue hatua za kuuimarisha huu Muungano badala ya kuuvunja kwa kutafuta mchumba binti mwenye umri kati ya 19-30 mzanzibari kindakindaki-ili hata ukivunjika bac udugu wa damu uendelee ku-exist (Hata hivyo mapenzi ya kweli yatazingatiwa, kudumishwa na ndiyo sababu kuu ya kutaka mchumba). Awe na elimu at least form 4, dini yoyote ile; Kuhusu mimi ni Mtanganyika swaafi wa kipato cha wastani kisichotegemea ufisadi bali radhi za M/Mungu.
Muhitaji wa kweli ani-PM
Wanatembelea humu kweli? jaribu kwengine
Huna lolote unataka tu yale mambo, wamestuka siku hizi na wanasoma sana. hawafanyi yale mambo tena