Natafuta mchumba mwenye umri kati ya miaka 30-42

Natafuta mchumba mwenye umri kati ya miaka 30-42

Usijali utapata kaka yangu miaka 30+ wengi tuu bado wapo wapo .
Kuolewa siku hizi ni ishu
Wanandoa wanakatisha tamaa
 
Vijana mmezidi kuwa madomo zege..... Inabidi nifungue chuo cha namna ya kutongoza.
 
Acheni kukatisha tamaa kijana... Atapatamani tu
 
Mimi ni kijana mrefu handsome Nina miaka 30 natafuta mwanamke mwenye mapenzi ya dhati na aliye serious kuishi maisha ya ndoa

Nina uelewa mpana juu ya tamaduni tofauti duniani kwani nimesafiri maeneo mengi,

Kwa aliye serious anifate inbox

Umri siyo ishu sana, ni namba tu


Mapenzi ya dhati kwa mademu wa kibongo wakati wenzako wanalilia kuwa chura, sijuwi....ila pole.
 
Tangia wakati ule hujapata tu??mkuu ongeza au panua wigo/uwanja wa kutafuta huyo mpendae jikite kanisani,kwenye matamasha au bar lol,sio JF peke yake.
 
Back
Top Bottom