Natafuta mchumba mwenye umri kati ya miaka 30-42

Natafuta mchumba mwenye umri kati ya miaka 30-42

Mkuu, naona kama bandiko lako lina rangi ya kutaka jimama la kukulea[emoji45] [emoji45] [emoji45]
 
Labda itokee baada ya mwisho wa dunia. Kashasepa huyo

Hahahaa. Kwake kigezo kilikua umri, na baada ya kumweleza habari za watoto akasema tuongee hahahaaa. Angetoka inbox kuja kumwaga upupu hapa JF hakuna wanawake wa kuoa hahahahaha. Kumbe hakujipanga jinsi ya kutafuta mke, akaja na vigezo open ended . Wafunzeni vijana kuoa kigezo si umri.
 
Wish u all the best. Aliekupangia Mungu atakuwa mke no matter where u meet her
 
Miss natafuta bado hujampata tu au unampa kampani kijana mwenzio??
 
Unywe maji mengi
mwanamke akitunzwa anakuwa tu mzuri ngoja nilale na shem wako kama hunitaki
13671761_160948521007204_93392809_n-jpg.390025
 
Awe muwazi tu kuwa anamtafuta jikeshupa wa kumuweka town. Na usawa ulivyobana, tutaona tofauti kati ya boys na men
 
Back
Top Bottom