Natafuta mchumba mwenye sifa hizi

Natafuta mchumba mwenye sifa hizi

masandare

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2014
Posts
671
Reaction score
580
Habari zenu wanajamvi.

Natafuta binti mzuri kwaajili ya uchumba (siyo mapenzi). Nahitahi awe na sifa zifuatazo:
1. Umri miaka 20 hadi 30.

2.Rangi isiwe nyeusi

3.Urefu wowote.

4.Elimu yeyote.

5.Kabila lolote tz isipokuwa tanga hapana.

6. Asiwe mwembamba.

7. Awe muislamu mwenye kujitambua.

Kwa yeyote mwenye sifa tajwa hapo juu au mwenye kuweza kuniunganisha na mwenye sifa ani PM.
 
Habari zenu wanajamvi,
Natafuta binti mzuri kwaajili ya uchumba (siyo mapenzi). Nahitahi awe na sifa zifuatazo:
1. umri miaka 20 hadi 30.
2.rangi isiwe nyeusi
3.urefu wowote
4.elimu yeyote
5.kabila lolote tz isipokuwa tanga hapana
6. Asiwe mwembamba
7. Awe muislamu mwenye kujitambua.
Kwa yeyote mwenye sifa tajwa hapo juu au mwenye kuweza kuniunganisha na mwenye sifa ani PM.

Kabila la tanga???? Ndo nalisikia leo.
 
Miaka 20 huoni kuwa ni mwanafunzi wa sekondari hivi we mzima kweli.

Akiwa wa umri atapewa nafasi ya kusubiriwa na hatimaye kuendelezwa kwa ada yangu.

Kuwa makini na macho. " Kabila lolote kutoka tz........................!!?
 
Akiwa wa umri atapewa nafasi ya kusubiriwa na hatimaye kuendelezwa kwa ada yangu.

Kuwa makini na macho. " Kabila lolote kutoka tz........................!!?

kaweke matangazo kwnye shule mbali mbali utawapata
 
Na akiwa hivi
10385380_666973243428540_8157723876385120491_n.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom