Natafuta mchumba mwenye sifa hizi

Natafuta mchumba mwenye sifa hizi

Ukabila umemkamata mpaka amehamia kwenye umkoa sasa....

Ni vizuri kabla ya kuhukumu ujilizishe na ushahidi ulio nao. Kila kitu hutokea kwa sababu. Zipo sababu zinazoitoa Tanga ktk vipaombele vyangu
 
Ngoma droo!!

attachment.php

hapo wakikutana ni lazima kitanda kiwake moto
 
Unaweza kutujuza sababu za kuitoa Tanga?

Sababu zake ninahusu mimi zaidi (personal affairs), siyo applicable kwa watu wote. Hivyo simaanishi hawafai kwa watu wengine, ni kwangu .
Na siyo busara nikiweka hadharani kwamba wamenitendea nini au nna ushuhuda gani kwao.
SINA DHAMIRA MBAYA JUU YAO. NI WATU WAZURI TU
 
Ni vizuri kabla ya kuhukumu ujilizishe na ushahidi ulio nao. Kila kitu hutokea kwa sababu. Zipo sababu zinazoitoa Tanga ktk vipaombele vyangu

Tanga kama tanga au kabila mojawapo ndani ya Tanga?
 
Habari zenu wanajamvi.

Natafuta binti mzuri kwaajili ya uchumba (siyo mapenzi). Nahitahi awe na sifa zifuatazo:
1. Umri miaka 20 hadi 30.

2.Rangi isiwe nyeusi

3.Urefu wowote.

4.Elimu yeyote.

5.Kabila lolote tz isipokuwa tanga hapana.

6. Asiwe mwembamba.

7. Awe muislamu mwenye kujitambua.

Kwa yeyote mwenye sifa tajwa hapo juu au mwenye kuweza kuniunganisha na mwenye sifa ani PM.

Mwisho wa kutuma maombi ni lini ?
 
Mpaka sasa hakuna ambaye nifikiana nae muafaka kutoka sababu hii na ile, hivyo uwanja uko wazi .Pia napokea ushauri. Karibuni.
 
Mpaka sasa hakuna ambaye nifikiana nae muafaka kutoka sababu hii na ile, hivyo uwanja uko wazi .Pia napokea ushauri. Karibuni.

Vigezo vimekua vingi mno kwa wadada wengi wa humu ni wajane. Jaribu kuangalia engo zote kaka uruhusu watu waingie. Mademu wengi ni mablaki humu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom