Natafuta mchumba mwenye sifa hizi

Natafuta mchumba mwenye sifa hizi

Vigezo vimekua vingi mno kwa wadada wengi wa humu ni wajane. Jaribu kuangalia engo zote kaka uruhusu watu waingie. Mademu wengi ni mablaki humu

Basi waonyeshee interest hata hao wajane ili tuanze kuona tunawezaje kupanga kuendana.
 
Mbona husemi wewe unasifa gani soko sokoni

Sifa zangu,
1.Mimi mweupe
2. Mimi Siyo mrefu
3.Nimeajiriwa
4.Kada ni Ununuzi na ugavi
5. Umri wangu miaka 30
6.Kabila yyangu mmakonde
7.Naelewa sana ila nna wivu kidogo.
sifa ntaongezea ktk PM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom