Natafuta MCHUMBA mwenye MAKALIO makubwa

Natafuta MCHUMBA mwenye MAKALIO makubwa

Asilimia kubwa wanawake wenye matako makubwa
hahah wana vitambi pia balaa
HILO NALO UJIANDAE NALO
mume awe na kutambi
nawe mke uwe na kitambi duh si balaaa hilo?
ANAPIGA POMBE[emoji481] na KITIMOTO[emoji241]n.k
mtumbo huo!![emoji85]

alafu mwenye tako kubwa niliwahi kusikia kuwa akili huwa hamna kitu
huwa zimehamia kwenye hayo majitu unayoyapenda
BUT
iwapo mume ni kichwa cha familia
Mke ni moyo wa familia ndiyo
maana wakasema pia hakuna nyumba inayoongozwa na matako bali akili

na ukimuoa mwenye nalo then akaugua hadi likaisha
akawa Kama hizi tv za sasa hivi flat
Je ndoa nayo itaishia hapo?

Ila pambana coz wapo wengi sana wenye nayo
na wanawake nao walishajua kuwa hicho ni kigezo kikubwa kwa sasa hivyo waliowengi wanahangaika mno kuyafuga!
Mkuu !

1.Mambo ya ngono na matamanio sio ya kushauriana mfano mimi mwembamba na sichukii mwanamke mwe tumbo ishu ni awe na tako la maana
2.Amber ruti hana tako kubwa je anaakili? Angela Kairuki anabonge la mzigo na ndo mastermind wa serikali
 
Hahah hiyo #2 rafiki sidhani Kama ipo sahihi
mastermind nadhani anakaa sehemu moja au wizara 1
But huyo hadi sasa nimechoka kuhesabu hiyo wizara ni ya ngapi sasa amepewa
(serikali inahangaika mno kumbeba)
kila anapowekwa ha-fit inabidi atolewe!

#1 nayo sio sahihi huyo dada kweli rafiki ukitumwa mwembamba utamleta huyo?
Hahah
Obvious nae anaingia humo kwenye wenye nalo

angalia akina Lisa Jensen, Angelina Jolie, celine Dion, Janet Jackson, whitney Houston, Aisee ni wengi mno nikitaja
Alafu
Angalia akina Jlo, kim kadash, Irene uwoya, hahah hapa napo ni wengi mnoo rafiki
(wanaoamini na kushindana kufuga matako)
Ndo maana nimekwambia ni culture and perception majority ya waswahili tunapenda ila mfano ukimchukua mwanao wa miaka 2 akaishi ujerumani siku akirudi atakuwa na preference za huko hachelewi kurudi haelewani na kaka zake maana kule wako agressive kutuzidi ,ili tusipoteze muda na wewe hii ni research iliyofanyika oxford university sio longolongo

We jipe moyo tu kama ulioa hawa walionyauka huko nyuma huyo ni wako

Back
Top Bottom