DSpecial
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 482
- 161
Hahahha umetishaje!!
Wengi wao ni watulivu na hawapendi makuu.......
Hahahha umetishaje!!
Kwa nini unasema kuwa ni bahati nasibu??cauz social media zipo nyingi kama hutoweza kuona picha yangu hapa we can navigate to whatsup au by any means before we meet mambo nowdays yamerahisishwa
Okey nashukuru..samahani kama nimekukwaza, bahati nasibu kwasababu huendi kuishi na picha, sura wala umbo, uaenda kuishi na tabia, ukilamba dume hapo umewin ila ukilamba galasa hapo sasa sijui, mengine muhusishe Mungu pia, utafanikiwa kaka. mimi nimemaliza
Mimi ni mwalimu katika taasisi mojawapo hapa dsm natafuta mwanamke wa kuishi nae mchumba huyu awe ni mwalimu ngazi yeyote ile pia awe anaishi dsm Ni PM kama upo tiyari...
Walimu na wanafunzi wa kata hakuna tofauti.wote IQ zao ni sawa
Walimu na wanafunzi wa kata hakuna tofauti.wote IQ zao ni sawa
Hata mwalimu wa Madrassa anafaa?Mimi ni mwalimu katika taasisi mojawapo hapa dsm natafuta mwanamke wa kuishi nae mchumba huyu awe ni mwalimu ngazi yeyote ile pia awe anaishi dsm Ni PM kama upo tiyari...
Unamaanisha nini embu weka wazi kwa nini I.Q ya mwalimu inafanane na ya mwanafunzi??
Mimi ni mwalimu katika taasisi mojawapo hapa dsm natafuta mwanamke wa kuishi nae mchumba huyu awe ni mwalimu ngazi yeyote ile pia awe anaishi dsm Ni PM kama upo tiyari...
Hata mwalimu wa Madrassa anafaa?
Hata mwalimu wa Madrassa anafaa?Mimi ni mwalimu katika taasisi mojawapo hapa dsm natafuta mwanamke wa kuishi nae mchumba huyu awe ni mwalimu ngazi yeyote ile pia awe anaishi dsm Ni PM kama upo tiyari...
jiheshimu wewe, tena jianglie.
Wanafunzi wanatafuta maboyfriend mtandaoni.Mwalimu anatafuta mke mtandaoni.niambie wanatofautiana nini hapa?
Sasa hapo huoni utofauti??mwanafunzi anatafuta boy/girl friend lakini mwalimu anatafuta mke..
Wewe mwalimu halafu unataka mke mwalimu jioni huko nyumbani si mtakuwa mnaongelea kusahihisha madaftari na jinsi ya kuandaa lesson plan ya kesho yake?Mimi ni mwalimu katika taasisi mojawapo hapa dsm natafuta mwanamke wa kuishi nae mchumba huyu awe ni mwalimu ngazi yeyote ile pia awe anaishi dsm Ni PM kama upo tiyari...
Acheni kuwadanganya wadada wenye uchu wa kuolewa.hakuna mwanaume mwenye akili timamu wa kumuoa mwanamke wa mtandaoni.
Hawa walimu mpaka siku akutane na mwanafunzi wake ndio wataacha kutafuta wake mtandaoni.
Wewe mwalimu halafu unataka mke mwalimu jioni huko nyumbani si mtakuwa mnaongelea kusahihisha madaftari na jinsi ya kuandaa lesson plan ya kesho yake?
mnataka mfungue tuition centre au?