kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,506
- 18,872
kazi ipo, yeye ni mwalimu sehemu kubwa ya siku yake imezungukwa na walimu, anaacha kutupa nyavu huko anakuja huku jf, wanawake jf ndio sie wenyewe wa huko mtaani, tena afadhali kudate na mwanamke ambae unamfahamu hata kabla hujamtongoza kuliko habari huku pm, huku ni kama bahati nasibu, ukilamba dume bahati yako ila ukilamba galasa, usrudi kulia, watu mnatafuta matatizo wakati mwingine.
NOTE: mimi najiuliza sana hili swali, inamaana huku jf ndio kuna wanawake wepesi wepesi au ndio kwenye wanawake wenye sifa hadi watu kukimbilia huku?
Mimi namshangaa sana huyu jamaa, najua na Nina uhakika kabisa, katika hiyo shule anayofundisha yeye anaita taasisi, kuna mabinti kibao kuliko wao wa kiume, na anawasikia wakilalamika kuachwa na kutoolewa na wengine kutaka kuzaa nje tu, kwanini asikamatie mmoja..
Ikiwa hao hataki wale wa kila mwaka wapya wanakuja....