Kijacho Jr
Member
- Dec 23, 2014
- 53
- 14
Mimi ni mwalimu katika taasisi mojawapo hapa dsm natafuta mwanamke wa kuishi nae mchumba huyu awe ni mwalimu ngazi yeyote ile pia awe anaishi Dar es Salaam Ni PM kama upo tayari.
kama issue ni mwalimu jaribu kuwasiliana na ndugu yangu Superbrand atakuelekeza...Mimi ni mwalimu katika taasisi mojawapo hapa dsm natafuta mwanamke wa kuishi nae mchumba huyu awe ni mwalimu ngazi yeyote ile pia awe anaishi dsm Ni PM kama upo tiyari...
Awe ame specialize kwenye masomo yapi?
Awe ame specialize kwenye masomo yapi?
Mimi ni mwalimu katika taasisi mojawapo hapa dsm natafuta mwanamke wa kuishi nae mchumba huyu awe ni mwalimu ngazi yeyote ile pia awe anaishi dsm Ni PM kama upo tiyari...
kama issue ni mwalimu jaribu kuwasiliana na ndugu yangu Superbrand atakuelekeza...
Hahaha we mchokozi mimi mwalimu wangu alikuwa ana nipima kasema
Mitihani hii ni ya masomo ya science sana mamichoro hivi mi nilisoma business shycom ndo maana nimefail
Yeye anaweza faulu ma reproduction sijui,Almentary canal huko na mengine
Hapo katika taasisi ufanyayo kazi WaPo uwatakao, ungetoa tangazo kwenye ubao....
Awe na gpa ya ngapi?
ha ha ha ha!shycome...nakumbuka wakati huo nikiwa buha..tulikuwa tunawafunga sana kwenye sokaHahaha we mchokozi mimi mwalimu wangu alikuwa ana nipima kasema