Ni PM nitakujibu huko.Am 31 one single working as a teacher in Arusha,can you accept it?
Asante sana.Kila la kheri dada yangu, naamini utampata wa Ukweli na sio hawa wazushi wa mitaani.
Mziki!!!!!Sio roho mbaya na wala tatizo sio watoto,nahofia hizo talaka zako kwani kwenye ukristu hatuna hayo mambo ya talaka pia inakuwaje uwe na talaka mbili,kwani una matatizo gani yaliyowashinda hao wawili???
Hapana,kwenye ukristo hatuna ndoa ya mke zaidi ya mmoja.
jamani pamoja na kusugua goti, inahitaji juhudi binafsi ; la tungekuwa kama wanyama tu kila kitu tumuachie Mungu.
All the best Pamela; utapata watu serious pia. Usingoje kufuatwa, kuna post nyingi tu humu za wakaka wanaotafuta wake, so jilipue kwa kuanza kuwaPM wewe.
Habari zenu wakuu,
Mie ni mdada natafuta Mwanaume mwenye sifa hizo hapo chin km
tukiafikiana tufunge ndoa,
sifa zake;
Aliye single,Mkristu,umri miaka 32-40,mwenye kazi ya kueleweka au
biashara,Elimu Diploma na kuendelea,mwenye mtoto mmoja
anakubalika,asiyevuta sigara,
Sifa zangu;Niko single,sijawahi kuolewa,sina mtoto,elimu ya shahada ya
kwanza,umri wangu 30yrs,nimeajiriwa nafanya kazi.
Kwa maelezo zaidi kuhusu mimi kwa atakayekua interested ani PM au
pamelamassawe@gmail.com
Tafadhali km unaona haikuhusu usinidhihaki ww pita bila kuandika
chochote.
hili sio la mzaha so naomba msilichukulie kimzaha.
Jibu ni Pamela ! Bahati mbaya hajajitambuwa, wenye kazi za kueleweka (kama Ngeleja na Malima) wanagombewa kama mpira wa kona. Mpaka afike JF, pamela atakuwa kafikisha 45yrs na mzunguko umekoma !Hivi sisi tusio na "kazi ya kueleweka" tutamuoa nani????
jamani wanagu, Mume hatafutwi namna hii!! umewahi kujiuliza miaka ya 80 tuu hapo nyuma watu walikuwa wanatafuje wachumba? wakati hakukuwa na mtandao wala sim!!?
Mkuu kwanini una-judge.?, nani kasema umri wake umekwenda ?, ni nani amekwambia watu hawajaonyesha interest ? yaani huyu mama amediriki kusema anakubali hata mwenye mtoto aweze kusaidia kulea wewe unasema hakuwa mtulivu ?, Hata kama alikuwa kahaba (don't people deserve a second chance ?) mkuu nadhani kauli nyingine kama hazijengi sio vema kuzitoa.., zinaweza zikamfanya mtu akawa depressed..Pam, najua unaumia kwa kuhisi umri umeenda na hakuna aliyeonyesha intrest, lakini hebu jiulize wewe ulikuwa mtulivu? chote mpaka ukafikia umri huu, jamani watu hawatujui wanaume, tunapenda kuoa msichan aliyetulia, sasa kama ulikuwa unachezea mamba majini, wajamaa wakuja wanakutumia wanapita hayo ndo madhara yake.... lakini ucisijali Muombe Mungu aliye Mwema sana atakusaidia!
lakini Dont rely on this type of networking!!! be very carefuly, unweza ukakutana na Shetani mtu...au mafreemarson!!! si unajua tena dunia watu wameichafua sana kwa mtandao, be very cereful dear!!