Natafuta mchumba/mume

Noo kloro, sio kwamba sijibu, ila nimechelewa kujibu,
Do Once ilikuwa online kloro, nimekujibu, asubuhi hii, hebu angalia.
Hiyo haibadilishi wala haipunguzi urafiki wetu, sisi ni marafiki katika shida na raha kloro.

OK, mbona unasikitika.. unaogopa kumpoteza??
 
Mi nacheza aruba-stini!Nnayoitaka ni A tena ya jembe aka Ace of spades!

Mhh, huo mchezo najua inategemea na idadi ya watu wanaocheza..kama wako wengi mpaka upate A, michezo 10 ishachezwa.. labda iongezeke pakti nyingine ya karata.. nakushauri ucheze 'last-card' kila karata ina heshima yake..ila angalia JOKER-Y..lol
 
Sina wasiwasi maana mchezo naujua na imani juu!Alafu sijawahi kushindwa!
 
Kila la heri Amina! Ushauri: Punguza hilo la weupe ili kuongeza nafasi ya wadau.
 
Naitwa Amina,naishi dar,umri wngu miaka 26, ni muislamu,sijaolewa wala sijazaa,natafuta mchumba ambae atakuwa mume wangu, mwenye umri kuanzia miaka 28 hadi 35,awe mcheshi,mwenye hekima,mpole, awe anafanyakazi,awe (mweupe),smart,mrefu kiasi,aliyetayari kupima,awe muislamu,yoyote aliyetayari tafadhali tuwasiliane.
hapo kwenye mabano mbona unabagua rangi kwani kuwa mweusi ni kosa ?
 
Kuna dada anajiita LD, ngoja aje atupe ushuhuda, watch this space,
LD muondoe wasiwasi huyu mtu kwa kuturushia maukweli hapa

Inawezekana na imewahi kutokea.
Cha msingi, mshirikishe Mungu ktk mambo yako yote.
Usiwe na haraka, jambo jema halihitaji haraka hata kidogo.
Kubali kuwa na marafiki, ambao yawezekana kabisa kesho ikaamua awe mchumba then Mume.
Si amini sana ktk kutangaza unatafuta mchumba,
manake, Pumba zitakuwa nyingi kuliko mchele na utashindwa kujua yupi ni yupi.
NI hayo tu kwa sasa...........
 
Huamini?? kwani haukuwa hivyo??

Mmmmh, sibishi sana Mpendwa.
Yawezekana, nilikuwa natambulika kwa matunda yatokanayo na Post zangu,
Ingawa nilijitahidi sana, kuificha hiyo.
 
Mmmmh, sibishi sana Mpendwa.
Yawezekana, nilikuwa natambulika kwa matunda yatokanayo na Post zangu,
Ingawa nilijitahidi sana, kuificha hiyo.

kuna natural instincts, hata kama ukijificha, kuna sehemu au siku itagundulika.. natumaini sikukosea sana niliposema kuwa ulikuwa unatafuta??
ni vyema kama umempata..lol
 
Naitwa Amina,naishi dar,umri wngu miaka 26, ni muislamu,sijaolewa wala sijazaa,natafuta mchumba ambae atakuwa mume wangu, mwenye umri kuanzia miaka 28 hadi 35,awe mcheshi,mwenye hekima,mpole, awe anafanyakazi,awe mweupe,smart,mrefu kiasi,aliyetayari kupima,awe muislamu,yoyote aliyetayari tafadhali tuwasiliane.

Mie mkristio,29 years,uko tayari kubadili dini?
 
Naitwa Amina,naishi dar,umri wngu miaka 26, ni muislamu,sijaolewa wala sijazaa,natafuta mchumba ambae atakuwa mume wangu, mwenye umri kuanzia miaka 28 hadi 35,awe mcheshi,mwenye hekima,mpole, awe anafanyakazi,awe mweupe,smart,mrefu kiasi,aliyetayari kupima,awe muislamu,yoyote aliyetayari tafadhali tuwasiliane.

Uko tayari kuwa mke wa pili?
 
Wish u all the best ila ukifanikiwa usiache kutujulisha tusitishe maombi .:juggle:
 
Kila la kheri Amina,mwenyenzi Mungu mwingi wa rehema akupe sawasawa na mapenzi yake,hapa JF au hata nje ya JF.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom