Natafuta Mchumba/Mume

Karibu Sana... Hapa hakuna kinachoshindika...., Utapata tu... Huyu hapo juu ni Hashycool..., na wengine watakuja hapo chini kukukaribisha
 
Kila la heri...kuna njemba hapa nazo zinatafuta wachumba labda ungejaribu kuwasiliana nao huwezi kujua labda unaweza kupata mtu ambaye mtapendana na hatimaye kufunga pingu za maisha.
 
Kila la kheri hapo juu tayari kuna Katavi,Hashycool,voice of reason,na Bubu Ataka Kusema,subiri wengine wanakuja
 
Kila la kheri hapo juu tayari kuna Katavi,Hashycool,voice of reason,na Bubu Ataka Kusema,subiri wengine wanakuja

Hahahahahahahah, bila kumsahau the one and only Wiselady wa jamvi hili mwanana.

Kila la kheri,hapa ndo JF na hao hapo juu ni Bubu Ataka Kusema,Wiselady,Godfrey Tajiri,VoiceOfReason,Hashycool na Katavi,wengine wengi watafuata baada yetu....Mungu akupe hitaji la moyo wako Fay2011........:coffee:
 
Najitokeza mbele yenu kutafuta rafiki atakayekuwa mchumba na hatimaye mume wangu. Awe mcha Mungu na mwenye upendo wa kweli. Pia anayejituma katika kutafuta maisha. Umri kuanzaia miaka 35 - 45, dini yake mkristo. Aliye serious na hilo tuwasiliane.

picha iko wapi?
 
Ahahahahaaah, jamani hamna mwenye vigezo? Hebu toa wasifu wako bibie naona GodfreyTajiri hapo juu anaelekea...
 
Ahahahahaaah, jamani hamna mwenye vigezo? Hebu toa wasifu wako bibie naona GodfreyTajiri hapo juu anaelekea...

By Jumanne atakuwa na mpenzi,wako wengi mno itakuwa kazi kuchagua.....sema ajieleze kidogo ati......:coffee:
 
  • Thanks
Reactions: nur
inshallah kila la kheyr habibty umpate akupende na asikutende.... ishallah all dah best 4u..na karibu sana sana jf tujumuike pamoja ok??.
 
Kila la heri bibie, ukifanikiwa usisahau kurusha mrisho nyuma !(feedback). Ikiwezekana tushangalia pamoja.

Usisahau kumwomba Mungu akupe machoni makali ya kuona.
 
Najitokeza mbele yenu kutafuta rafiki atakayekuwa mchumba na hatimaye mume wangu. Awe mcha Mungu na mwenye upendo wa kweli. Pia anayejituma katika kutafuta maisha. Umri kuanzaia miaka 35 - 45, dini yake mkristo. Aliye serious na hilo tuwasiliane.

Please ni PM tafadhali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom