Kamiss Tarented
Member
- Nov 7, 2016
- 50
- 35
- Thread starter
-
- #141
umenifurahisha,walionigegeda hawanasifa izo ivyo nisingependa kuingia kwenye ndoa nao wakati najua roho yangu haijawa radhi,, sitaki kufanya makosa.nimeusemea moyo wangu ,,,,km ni kuolewa na yeyote ningekuwa na watoto watatu,,niliingia nao kwenye mahusiano nikijua labda roho itabadirika but since 20,,its still the same,,so nataka kuitendea haki nafsi yangu.Pamoja na mashart yote hayo hauna Bikra, Bint mungu anakuona....!! Endelea kutafuta, kwa style hiyo jiandae kugegedwa kwa miaka mitano iajayo...!! Rudi tena na hapa 2020 kwa sharti moja tu, tukiwa na uzima.
Always mnaothink negative ndivo mlivo.Utakuwa germinating seed of USHOGA
NdioUpo tayari kupima HIV isiwe unataka kumfia MTU bure hapa
Asante kwa ushaur!nitaufanyia kazi.haya maombi ungeyabandika kwenye mbao za matangazo halmashauri ya mara/musoma/tarime/bukoba usipotezeee watanzania muda
Kwa wadada...Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 25, natafuta mchumba anayenizidi miaka mitano(5) na kuendelea. Sharti awe mkristo ( Mlutherani sitaki kuwachanganya watoto na pia nahitaji familia yangu iwe ya dini), mpole ( Kuna wanaume wanaoogopapa kuwatongoza wanawake type kama hizo ndo nataka).
Usijali mapenzi tutafundishana kwenye ndoa (yaani ujuzi), uwe mrefu mwembamba, uwe na kazi nzuri (coz na mimi nina kazi nzuri) na ni mwembamba pia. Kabila utoke ndani haya matatu- msukuma, mhaya, na mkurya (mimi mhaya).
Elimu uwe na degree, usiwe na mtoto au ulishawahi kumpa mimba mdada yeyote akatoa (sitaki laana mimi, nataka kitu fresh kama mimi ingawa kufanya nilishafanya yaani ku do).
Nitakuheshimu na kukupenda kwa dhati kama utakuwa serious. Kama mzungu pia unakaribishwa ila sio mhindi au mchina.
Kama utakuwa interested ni-pm.
Nimesema mm mwembamba so chura la kimodo.Una chura????
Una chura????
Chura la kimodo ni kama flampeni au?Nimesema mm mwembamba so chura la kimodo.
Hana ivyo vigezo nimemuacha sitaki kuisaliti roho yangu ipendacho[emoji2]
ss hv wamepanga foreni wenye nusu vigezo ila sitaki kuitesa roho yangu ,,najua ninachopenda mm,,,hapo ndo naweza ridhika na familia.Kama MUME angekuwa rahisi kupatikana nadhani ungekuwa ushapata mtaani kwenu au kazini kwako,,endelea kuweka vigezo kama mganga huku unqchqngia harusi za wenzio ......nakusubiri ukifika 32,nadhani utabakisha kigezo chake "mwanaume wa kunioa"
ni kama beseni lililovunjwa nusuChura la kimodo ni kama flampeni au?
na ww karibuduh huyo unamkaribisha lakin mimi hautaki ,haya bhana Mungu anakuona kwa unachonifanyia
umenifurahisha,walionigegeda hawanasifa izo ivyo nisingependa kuingia kwenye ndoa nao wakati najua roho yangu haijawa radhi,, sitaki kufanya makosa.nimeusemea moyo wangu ,,,,km ni kuolewa na yeyote ningekuwa na watoto watatu,,niliingia nao kwenye mahusiano nikijua labda roho itabadirika but since 20,,its still the same,,so nataka kuitendea haki nafsi yangu.Kama MUME angekuwa rahisi kupatikana nadhani ungekuwa ushapata mtaani kwenu au kazini kwako,,endelea kuweka vigezo kama mganga huku unqchqngia harusi za wenzio ......nakusubiri ukifika 32,nadhani utabakisha kigezo chake "mwanaume wa kunioa"
Hao wazur,,, sio watu wa kulalamika ila akikasirika unamjua ,,,kwa research yangu huwa wana upendo wa kweli coz kutongoza hawajuiUnataka madomo zege.....
Ungepata hata wawili wa kukusalimia mtaani kwako usingekuja kutujazia threads humu...,inaonesha umekosa soko mtaani kwako!! Usichojua tu ni kwamba waliopo humu si malaika,ni haohao wanaokukataa mtaani kwako, jiandae kisaikolojia ukikutana nao...ss hv wamepanga foreni wenye nusu vigezo ila sitaki kuitesa roho yangu ,,najua ninachopenda mm,,,hapo ndo naweza ridhika na familia.
mm ni modo,,,Una chura nzuri?( yaani shepu yako ikoje? Huna kitambi?) Una guu la chupa? na unaishi wapi?