Natafuta mchumba, mume mtarajiwa

Huyo wa kutimiza hayo masharti labda umtengeneze mwenyewe. Uandishi wako tu unaonekana bado hujawa matured enough to handle a full grown man.
 
Utampenda yeye au ndio hio kazi nzuri. Tatizo wamama wamegom kuzaa vijana wenye sifa zote hizi unazozitaka
 
Shunieee nilipanga tuwe pamoja eeh nashangaa kwa nini umebadilika ghafla
Marafiki zangu wanakujua wanasema aah , hata yeezus naye anakuja anasema .......[emoji444] [emoji444] [emoji443] [emoji442] [emoji442]
unaimbisha mdogomdogo .Waweza fanikiwa
 
Hata usingetaja kabila lako ningejua tu kuwa wewe mhaya
 
Believe me huwezi kumpata huyo unayemuota!
ila kwa hii msg wahuni "watakudinya" kwa kuwa wanakuona uko desperate!
vibinti at your age, often huwa na vijimashauzi of this nature, ila saa ndoa ikifika utaburuzwa tu hata na mfipa, mgogo, mchaga etc!
yaani toka o-level hadi university umekosa potential partner ktk cycle zako?
hapakuwa na classmate, schoolmates, rafiki wa class/schoolmates (including chuo) au hata ndugu za watu wa karibu nawe waliokuwa interested?
Anyway, unaweza kumuotea hata huku, you never know, ila ukimpata tupe mrejesho!
 
Kwan ww ndo umeumba mmh jaman masharti kibao tafutaga huko mtaani na Id yako feki
 
Pamoja na mashart yote hayo hauna Bikra, Bint mungu anakuona....!! Endelea kutafuta, kwa style hiyo jiandae kugegedwa kwa miaka mitano iajayo...!! Rudi tena na hapa 2020 kwa sharti moja tu, tukiwa na uzima.
 
Kweli hali ngumu......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…