Natafuta "MCHUMBA/MKE" lengo NDOA

Si kweli umekosa mke sababu ya umri wako...so usiende ukibadilisha miaka lol...

Kwanza wanawake wengi tunapendaga watu wazima...lol..

Kosa lako ni ku concentrate kwenye eneo moja kutafuta huyo mke jf lol. JF tumejaa mishangazi tu..

Anza kuwa na jicho la kuangalia elsewhere, si kweli kazini, kanisani, kwenye shughuli za jamii ukakosa mke huko kote..
 
Safi.
 
Kwahyo humu hakuna mabinti wenye mid 20's
 
Na nilimtukana kwa upumbavu wake.
 
Point of correction! Haongopi ila anadanganya
 
Mtoa mada, huku jf itakua vigumu kwa wewe kupata mke, wadada wengi humu hawako serious sana sana wataishia kukuchuna tu hela
 
Yawezekana jamaa huwa anapata ila hawakidhi vigezo vyake anarudi tena sokoni.

Kutafuta mke siyo rahisi kama kutafuta demu tu wa kuchakata.
 
Soon.nitakuja na bandiko langu la mke ngoja nimalizane vimipango
Vigezo vitakuwa 20. Hilo bandiko nitalileta 1/11/2026 kwa uwezo wa mwenyezi Mungu
 
Asante sana Dada, kwanini aseme uongo.....halafu mistari ya Bible kibaoooo.....hapo keshaumiza mtoto wa mwingine,,,,anatafuta mwingine taena
 
Mungu akupe haja ya moyo wako.
 
Tangu mwaka jana April hajapata mtu Mungu ana watu wengi ila hapati......

Itakua ana vipengele sana huyu
Ukiona hadi mtu ameamua kuja kutafuta mke/mchumba kwa watu wasiojulikana na wasioonekana ujue hapo kazi ipo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…