Natafuta mchumba jamani

Bacha ukiona hivyo ujue MIMI ndio mshindi..... subiri taarifa rasimi hah hah

hujui usemalo
tupo pamoja kitambo tu na huyu bidada,
shauri yako, kama umeshajiweka kwenye line ya mafanikio
 
hujui usemalo
tupo pamoja kitambo tu na huyu bidada,
shauri yako, kama umeshajiweka kwenye line ya mafanikio

Stooooooooooop u people i have made selection lets wait for tomorrow i will get back to you all for the information 2more.........i wan make people belive unbelivable...........
 
Basi ni vizuri tutengeneze JF Single club,kama wakaka wote hap wako single halafu hapa hapa watu wapo???hivi nani hatofurahi kuambiwa Paka Mweusi na Michelle walikutana hapa JF??ikaanza kama utani then ikawa kweli?manake bwana hamna sehemu maalum ya kukutana na mwenzi wako?????:A S 465::wink2: Mods please,mtoto wetu wa kwanza tunamuita Jamii Forum....................LOL

Shabaaaaash...........Mwanzo mzuri huu,Mods please do ze nidful pliiiz..........

Ndio niko single

Mwaka sio wangu huu...:rain:

Baba kubali yaishe,alopewa muheshimu ridhiki yake ni pana,kuipora kwake ni vigumu,utahangaika sana....
 
Kwanza hongera dada kwa kuvunja ukimya,
manake mmmh, kuisema inakuaga ngumu.

But, mi naamini huu ni wakati wako wa kukutana na Mume mwema kwako.
Na utampata tu, lazima February haifiki.
 
Kwanza hongera dada kwa kuvunja ukimya,
manake mmmh, kuisema inakuaga ngumu.

But, mi naamini huu ni wakati wako wa kukutana na Mume mwema kwako.
Na utampata tu, lazima February haifiki.

huyu atakuwa Fidel80
 
kunaa faida gan? Kuwa na degree alafu ukakanayo nyumban bila kaz? Unaweza kula hiyo au unapenda sifa na c mafanikio? Mm la 7 i lov you
 
Mimi Single na nina sifa zote za kuwa Mme Bora ila Jina hilo naogopa madear
Hivi hi JF kuna wakaka single kweli??mbona mi siwaonagi wakichangamkia opportunities ka hizi, my dear ukimpata uje useme ili na ma-single ladies wengine warushe ndoano zao..............LOL
 
Hivi kuna walioshafanikiwa humu Jamvini kupata mwenza wao?..... Mods I said it Once and I will Say it Again, na wengi wameshasema... (Wengi Wape sasa Kama Demokrasia inatushinda humu Jamvini Tu Je huko Nje Tutaweza?)

Tunahitaji Singles forums itasaidia wengi....... tena if you ask me unaweza ukalifuta lile Jukwaa la Uchaguzi 2010 ukabadilisha Jina Tu sababu hilo Jukwaa halina faida... Ila seriously Single Forums iwe Sub Forum ya Mahusiano....

well said mkuu. Niliwahi kumPM invisible akasema tayari wanalifanyia kazi. Hebu watuwekee tutangaze nia huko.
 
Hivi kuna walioshafanikiwa humu Jamvini kupata mwenza wao?..... Mods I said it Once and I will Say it Again, na wengi wameshasema... (Wengi Wape sasa Kama Demokrasia inatushinda humu Jamvini Tu Je huko Nje Tutaweza?)

Tunahitaji Singles forums itasaidia wengi....... tena if you ask me unaweza ukalifuta lile Jukwaa la Uchaguzi 2010 ukabadilisha Jina Tu sababu hilo Jukwaa halina faida... Ila seriously Single Forums iwe Sub Forum ya Mahusiano....

nahisi watu wanatania tu. Siamini kama mtu anaweza kutafuta mpenzi wa maisha mtandaoni. Ndio maana hakuna feedback maana.
 
nahisi watu wanatania tu. Siamini kama mtu anaweza kutafuta mpenzi wa maisha mtandaoni. Ndio maana hakuna feedback maana.
Husninyo, Hizi ni zama za teknolojia, wenzio huku wantengeza hela kwa kukutanisha
wanaotafuta wenza. Hapa watu wamepata bahati ya kukutanishwa bure. Humo kuna kila
aina ya watu, kuanzia akina pangu pakavu mpaka madirector bila kusahau teens na wazee.
Kama uko single changamka, Dar kwenyewe siku hizi unakwenda kazini giza unarudi giza, muda mwaingi tunashinda humu hahah LOL
 
Unakumbuka ulikuwa unatafuta nini humu au nawe ulikuwa unatania? Ila swala la kupata mchumba halijalishi wapi sema Mungu akujalie tu unaweza mpata kanisani asiwe mkweli na unaweza mpata Disco akawa mke .....Usikate tamaa kama na wewe ni single
nahisi watu wanatania tu. Siamini kama mtu anaweza kutafuta mpenzi wa maisha mtandaoni. Ndio maana hakuna feedback maana.
 
nahisi watu wanatania tu. Siamini kama mtu anaweza kutafuta mpenzi wa maisha mtandaoni. Ndio maana hakuna feedback maana.

Nadhani labda huu ndio mwanzo..... Breaking the Ice if you may.....
Baada ya kuonana hapa maybe watajuana zaidi baadae wakikutana face to face.
 
Nadhani labda huu ndio mwanzo..... Breaking the Ice if you may.....
Baada ya kuonana hapa maybe watajuana zaidi baadae wakikutana face to face.

lakini bado unaonekana una mawazo nini tena face to face is not working ?????hahah lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom