Natafuta Mchumba hadi mke alie TASA....

Natafuta Mchumba hadi mke alie TASA....

Kinyoo

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
26
Reaction score
7
Nishakuwaga na mtoto tangu nikiwa form 4,so biashara hiyo nishamalizaga.Natafuta demu tasa tule bata mpaka tuzikane.
Sifa nyingine ni awe murembo kwa kiasi chake au zaidi,sio mnene wala kimbao mbao.Elimu ya kutosha kujieleza vizuri kwa lugha zote english na swahili.Umri usizidi miaka 30.mimi nina 36.Pia awe HIV free na awe tayari kupima afya in full.Mimi ni daktari so hiyo kazi nitafanya mwenyewe.
Mengine tutajuana mbele ya safari.....
walio serious tuuuu wa PM.........
 
Huo uwezo wa kujieleza lugha zote uwafanyia interview ndipo ujue? Halafu kingereza asipojua na elimu isipokuwa ya kutosha si unampeka english course na Qt? Au unataka alie kusomeshea nani?
 
bora umejitambua u mgumba, baada ya ya kutukana mamba kabla hujavuka mto
 
Hata waganga wa kienyeji pia nao siku hizi ni madokta.. subili hapo hapo utapata make mtafutaji hachoki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom