Bashite mimi
Senior Member
- May 2, 2017
- 113
- 62
hahahaha haya manenoAsante saana ndugu kwa kutuombea ubarikio kwa bwana.
Nami nisiwe mnyimi wa fadhila nikutakie la kher upate mme wa hitaji la moyo wako. Akujaze furaha mpaka uhisi upo peponi. Akujaze mapene yasiyo haba na penzi kinda kinda lililojawa papatio kama lile la jogoo na mtetea. Asante.