Natafuta Mchumba aliyeokoka (Mwanamke)...

Prince C

Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
9
Reaction score
2
Za leo watu wa MUNGU,natafuta Mwanamke aliyeokoka na anayependa kufanya kazi ya MUNGU,Kwa moyo mkuu,awe na umri wa miaka 24-26.....0773 842 849
 
Eeeeeeh Wacha weeee, aaaiiiiissseeeeeeeeeeeeee.......................!:kev::kev:
 
Za leo watu wa MUNGU,natafuta Mwanamke aliyeokoka na anayependa kufanya kazi ya MUNGU,Kwa moyo mkuu,awe na umri wa miaka 24-26.....0773 842 849

Kuokoka ni kuwa vipi mkuu???? Tafadhali nielekeze
 
Watakuja ila kazana na wewe kuwatafuta kwenye vijiwe vyao...
 
mmh ww mlokole kweli? au wataka mlokole wakati wewe mbwiyaji! maana ninachoamini mlokole wa ukweli hawezi kuja hapa JF nakutafuta mchumba ila angepiga magoti na kumwomba MUNGU! Sanaaa angelikuja kuomba ushauri na uzoefu kuliko kutafuta!
 
Za leo watu wa MUNGU,natafuta Mwanamke aliyeokoka na anayependa kufanya kazi ya MUNGU,Kwa moyo mkuu,awe na umri wa miaka 24-26.....0773 842 849

Ila ni ngumu kujua mtu aliyeokoka!! labda cheki na Smile
 
Last edited by a moderator:
Za leo watu wa MUNGU,natafuta Mwanamke aliyeokoka na anayependa kufanya kazi ya MUNGU,Kwa moyo mkuu,awe na umri wa miaka 24-26.....0773 842 849

Kwani aliyeokoka ana alama gani mwenzangu??? Kuwa muangalifu utachakazwa wewe....
 
Utapata pretenders kibao, usitangaze sifa hizo hata shetani hufanya hivyo hivyo,. wewe unaetaka alieokoka, wewe mwenyewe umeokoka? CV yako inasomaje? ulokole unaenda na cash bhana sio mnamdhalilisha MUNGU bure, okoka huku una cash ati, japo ya kubadilishia mboga..........
 
Hivi kumbe hauwezi kufuata zile sheria za Mungu bila kuwa na pesa eeeh!
 
nenda jukwaa la wakubwa... utawakuta, wpo wengi kule
 
kwa kakobe,kwa mwingira,kwa mzee wa upako,kwa yule nabii wa kujichubua, kwa yule mwingine muhindi,kwa yule anaetembea na hummer linawaka taa wakamuhamisha ubungo na wengine kibaaaaaaaao!
Hujaona kote huko hadi uje hapa?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom