Natafuta mchumba aje kua mume wangu

Natafuta mchumba aje kua mume wangu

Nina miaka 28,
Mkritu,
Sina kazi,
Elimu yangu form 4,
Natafuta mchumba awe mkritu,
Atakaeweza kunitunza nami nimtunze,
Miaka 30-35.

Kama uko tayari ni pm.

Salaam wanajf, Mimi ni Nina degree ya sheria pia nimeapitia mafunzo kwa vitendo law school of Tanzania, ila nilikamatwa masomo mawili ambayo nimeshayafanyia mtihani nikisubiri matokeo.
Naomba nafasi ya kujishikiza nikiwa nasubiri matokeo yangu.Asanteni.
Sema ukweli, kuhusu elimu elimu yako! Maana kuna ukakasi mtu anaweza kuwa na nia kweli lakini kwa jinsi ulivyojicontradict ataona pia hata kwenye ndoa yatatokea makubwa zaidi!
 
Wako wenzio hueka number hapo ya simu wewe nimizunguo tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom