Natafuta mchongo wowote halali, nipo Mwanza

Sio lazima nimpe mtaji hata mawazo yanaweza kumsaidia kupata option ya wp pakwenda.

Kama sikosei amesema amemaliza chuo bila shaka wapo waliomsomesha ambao wanaweza kumsaidia kumpa huo mtaji.....
Nime moa ushauri huo, kwa sababu Kuna Jamaa yangu kaajiriwa private.
👉Ana lipwa laki 6, so nashangaa ulivyo sema Wana lipwaa 150k
 
Humu ushauri ambao mara nyingi unaweza kuupata ni wa aina hii mkuu, financial support ni nadra sn mkuu...
 
Eh naweza mkuu
Tengeneza hii:-
Kiazi: Rafiki yangu tembele hujambo?
Tembele: Sijambo, habari za siku nyingi?
Kiazi: salama tu, ila familia yangu ilikuwa ina changamoto za hapa na pale
Tembele: Zipi tena?
Kiazi: Wana siku ya saba leo, wanakula ugali kwa kuchovya kwenye uji
Tembele: Kwa nini usinunue mboga ata za mia tano?
Kiazi: Nitaweza wapi mie, nyakati hizi ata kupata kibarua cha kukata nyasi kwa jirani imekuwa ngumu sana.
Tembele: pole sana rafiki yangu, ukipata nafasi uje pale nyumbani, nitakusaidia angalau siku hizi mbili uweze kupata mboga
Kiazi: nashukuru sana​
 
Sawa mkuu nauzaje hiz kazi zangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…