Natafuta mchongo wowote halali, nipo Mwanza

Natafuta mchongo wowote halali, nipo Mwanza

Exformer

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2018
Posts
856
Reaction score
989
Nitangulize wasifu kwanza
Education : degree Of Community Economic Development (CED )
Age: 25
Location : currently Mwanza.

Ndugu zanguni kama mjuavyi hali ni tete, nipo mwanza
Ama hakika kama kuna mtu yeyote ambae anaweza fanya kitu muhimu kupata shughuli ya kupata chochote kitu kupitia taaluma yangu ama vyovyote halali juu yangu. Nitamshukuru sana

MWANZA kwa sasa sina hali
Masaada kwenu
 
Upo Mwanza maeneo gani? Jaribu hata kiwanda cha nondo kinachotengenezwa nje kidogo ya Kisesa, barabara ya Musoma.

Kila siku nawapita pale vibarua wanaenda kupiga kazi, nenda kajaribu fusa pale.
 
Upo Mwanza maeneo gani? Jaribu hata kiwanda cha nondo kinachotengenezwa nje kidogo ya Kisesa, barabara ya Musoma.

Kila siku nawapita pale vibarua wanaenda kupiga kazi, nenda kajaribu fusa pale.
Hiyo ni job kamili mkuu sio fursa
 
Back
Top Bottom